Dah yan schokag kabsa kuangalia move za mkojan aseee
Nawapenda sana mko vixur madada zangu❤
Kazi nzuri tatizo lenu kila tamthilia zenu saut inakata mara irudi rekebisheni hilo
Kibwana ana bonge la mwanamke alafu anashawishika na kale kadem
Twende bas tukaoge Hadi raha😊❤❤
❤❤❤❤
Mbwela.asante sana broo kwan kumsaidi binti ❤❤❤
Mwana kulitafuta mwana kulipata haya alafa pambana na hali yako😂😂😂😂
Kazi safi sana my best ❤❤❤
🎉
Pole sana mwanangu nakuoneya huruma, nami nimelelewa na shetani kama hawa Moomba wako na mke wake ila Mungu akunusuru mikononi mwa hawa mashetani.
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😢😢😢😢
❤❤❤
Naomba kujua samaan jina la kijiji hiki nanimkoa gan pazuri nimepaelewa
Morogoro Bwakila
@@dorcaschease mashaallah shukran sana nataman kufika hapo siku moja kaz nzur sana mungu awajaalie mfike mbali kazi zenu zizidi kutupa elimu
Jamani anko wewe nimtu mbaya sana
Tupo apa ila kwanini awakutowa sehemu yapili yataifa❤❤❤❤
Thanks mbwela ubrikiwe❤
Ww mujomba namkewako nyie ni mashetani😢
❤❤wow mashaallah congratulations bwela
Magazine hakona sauti kama ya king majuto 😊
😃😃
Et tulia wewe mtoto wa kike
Huyo sio wakawaida ata kichititu akianza hivyo mwana mke nibaraa yaliyo nikuta mm nimazitoo
Arafaaa kuwa mvumilivu maisha yanahitaji uvumilivu katika maisha kuna kupata na kukosa rizki anapanga mwenyezi mungu
Ata maisha yapo ata KATIKA ndoa za wengne
Hapo kwenye ugali nae BATA 😁😁😁
😂😂😂😂
ua-cam.com/users/shortsnf6X_9TxABA?si=GV8aPxRZukVi_Fi-
😮😮😮😮asante mbwela kwa kusimama na huyu binti
😢😢😢hofu mi lazima..kwa mwenendo huu wa Dorcus
Mbwera n MTU wangu Sana weka comments bana
Uuuuh
Mzuri sana lakini sauti inapotea sana
Kaka mungu akuongezee uishi kwa kudanya kazi za kumpendeza
jitahkmiuweasdmnk Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi Nzuri yenye mafunzoooooi
Assalam aleikum warahmatuh wabarakatuh Leo nimekua wakwanza kutoka kenya
Hongera sana
Mwanamke mjinga huvunja nyumba yake kw mikono yake mwenyewe... Hili n funzo kw wanawake wajinga km Arafa punguzeni tamaa
Dunia hii kweli akuna jipya. Mimi binafsi yalinikuta haya. Hivyoo hivyoo. Yauma Sana hii msiombe.
💯
❤❤❤❤❤❤kaka bwela hapo hapo mungu akufikishe hatua ya juu sasa tunasema ikibamba sana wapi shangwe kwa bwela weweeeeeeeeeee
Yani kaka mbwela keep it up tuko nyuma yako bega kwa bega
mmecheza vizuri sana katika sehemu ya ulevi
iko sw sna yengine km hii
Maua yako dorcas much love mbwela.
Upo vizuri dadaangu 👏👏👏
Move Kali Sana Ila washiriki wadogowadogo wajitahid kuwa wabunifu kwenye maongez na ckusoma script km zilivyo mfano mussa na mwantumu yan n km wanasoma
❤❤❤ hakika movie zinamafunzo ndani yake
Jitahidi bc utoe move nyengine mbona marudio Kila siku